TanzMED App
TanzMED App

TanzMED ni jukwaa la Afya linalokuwezesha kupata maarifa na taarifa za Afya kwa ufasaha kutoka kwa wataalamu waliobobea kwenye fani ya Afya.

Jukwaa hili linakuwezesha kusoma makala za Afya, kuuliza maswali ya afya, kushiriki kwenye mjadala ya Afya, kujfunza kwa njia ya kusikiliza, kupata orodha ya huduma za Afya nchi nzima na mengine mengi.

Lengo letu kuu, ni kuhakikisha TanzMED inakuwa kituo pekee ambacho unaweza kupata kila kitu kwa umoja wake. 

Kumbuka, TanzMED haitoi tiba ya online, bali inakuwezesha kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya ambao watakupa muongozo utakaokusaidia kwenye kufanya maamuzi ya wapi uende kwa ajili ya tiba kamili ya Afya.

Date
02/05/18
Category
Mobile Application
Client Site
Tags
Call us now